» » » Diamond Platnumz Analipwa zaidi Aki perform Nje ya Tanzania


Kwenye interview aliyofanyiwa na Xxl Diamond Platnumz amezungumzia kuwa tayari kufanya chochote kwenye muziki kikiwa na maslahi.
Diamond anasema alikubali kufanya show kwenye tamasha la ‘Kiboko Yao’ la Tigo lililofanyika Leaders Cluds Clubs baada ya kukubaliana na watayarishaji kulipwa pesa anayotaka.

Diamond alisema ” hapa katikati palikuwa na show mi nikawambia hii show ni biashara kwangu mi sikatai lakini you have to pay me, show mi nimelipwa milioni 100 ndio nimetumbuiza, siamini kama kuna msanii wa KiTanzania alishawahi kulipwa milioni 100, hili swala si umetengeneza kama beef , tuifanye biashara 2 Diamond aliendelea kusema 

Nchi kama Rwanda anaweza lipwa milioni 120, 130 ila ilikuwa mara ya kwanza Tanzania milioni 100, kwasababu ilikuwa beef na sio kwamba show haikulipa, ililipa kwasababu ilikuwa imeshatengeneza tension flani kwahiyo tuzitumie hizi vitu kimaslahi zaidi

About Unknown

Hi there! I am Hung Duy and I am a true enthusiast in the areas of SEO and web design. In my personal life I spend time on photography, mountain climbing, snorkeling and dirt bike riding.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Leave a Reply