Makonda awaita UKAWA vibaka, aitabiria CCM Ushindi 99% Unknown 10 years ago 0 No comments Paul Makonda akizungumza katika mkutano wa kampeni wa Mgombea mweza wa Urais kupitia CCM Bi Samia Suluhu Hassan,mkoani Mwanza.Makonda amesema kuwa hakuna uchanguzi mwepesi na raisi kwa CCM kama wa mwaka huuKasema mwaka huu CCM inapambana na Vibaka,Wachochezi na Mafisadi waliokimbilia UKAWA. Share !
No comments: