Diamond Platnumz Ameweka Ujumbe Huu Katika Page yake ya Instagram:
"Dah, I realy don't know What to say ...
dha! hata sijui nizungumze nini...
(Eeh Mungu baba tunakushkuru sana kwa kuzidi kuunyanyua na kuupa Thamani mziki wetu wa Afrika Mashariki...tafadhali endelea kutushika mkono, usituache)"
No comments: