Hivi karibu msanii wa Bongo Fleva Nuh Mziwanda ambaye ni mchumba wa Shilole alimtuhumu mshindi wa Big Brother Afrika Idrs Sultan kuwa amekuwa akimtongoza mchumba wake Shilole. Nuh aliweka wazi kuwa hata sms za simu ameziona.
Hili ndio jibu la Idris.
” Kati ya vitu sisubiri kuambiwa ni ikiwemo kuwa am social. Tabia yangu ikiwemo kupenda watu na kufanya mazungumzo na wengi. Sasa unapokuja na agenda za nje kwangu nakukaribisha sio kuwa sikujui ila nakuvumilia na kukupa mda wa kujirekebisha. Kama mwanaume uliyekamilika huwezi kuja insta kiholelaholela kulalamika kuwa mwanamke wako anasumbuliwa,
1. Huna namba yangu
2. Mbona mwanamke wako hasemi
3. Ulikua unafanya nini kwenye simu yake kukagua message au na pochi unambebea
4. Naanzia wapi kumsumbua mwanamke wako, hivi umemuona wangu kwakweli ?
5. We ni mwanamziki au muuza magazeti mbona uswahili sana ?. Ukitaka kumsumbua wangu sikukatazi ila njoo na dictionary. Watu tuna amani na upendo ila vipepeo vyako vinaweza kuleta unnecessary riots. Najulikana Africa nina mashabiki wanaonipenda na walionichagua na nina ndoto zangu na zao za kutimiza ukijua levo uliyopo na levo niliyopo angalau siku ukijulikana hata kinondoni vizuri basi utajua kina nani wa kuwaheshimu na nani wa kuwapigia kelele. Shishi baby boo lovie sweetie we will support you all day everyday regardless ya wrong choice of men uliyoifanya hapa. ”

Ujumbe Huu uliambatana na picha ya Mpenzi wa Idris.
No comments: