» » Nay wa Mitego begs Tanzanians and Fellow Artist to be More Careful on Pictures seen on The Internet


Nay wa Mitego (Bongo Flava Artist)  begs Tanzanians and  Fellow Artist to be More Careful as some circulating Pictures on the Internet are containing FALSE and MISLEADING Information. See what He Said Below:-
"Please waungwana wenzangu, Wasanii wenzangu... Please tuwe makini na izi post zetu kwny iki kipindi cha uchaguzi, izo pictures apo juu ni watu wawili tofauti.. But kuna misanii imepost ili kumchafua Mh Edward Lowassa eti uyo ni mtu mmoja.. Jiangalieni nyie mnaopelekwa km magari mabovu. Uyo kushoto ni mfanya kazi wa kampuni flani maarufu anaitwa Amit Kevalamani. Na wakulia aliye na Mh Edward Lowassa ni Mgombea Ubunge Jimbo la Ilala kwa Ticket ya Chadema Anaitwa Muslim Hassanal.Mbinu zenu zote zimegonga mwamba, tunasubiri nyingine. Hamumpati mtu tumesha amua. #Mabadiliko2015"

About Unknown

Hi there! I am Hung Duy and I am a true enthusiast in the areas of SEO and web design. In my personal life I spend time on photography, mountain climbing, snorkeling and dirt bike riding.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Leave a Reply