» » Shamsa Ford, A Bongo Movies Actress Shares with you a Touching Message..Read it Below


Shamsa Ford, A Bongo Movies Actress Shares with you a Touching Message...Below is what she is Saying to her young Baby Boy
 "Ile ndo njia niliyopitia mwanangu. Nilimuweka Mungu mbele,nilihakikisha napata baraka za mama yangu popote ni endapo, nilimuheshimu na kumthamini kila mtu bila ubaguzi,nilivumilia mengi mpaka hapa nilipo,nilikuwa mwepesi kujishusha na kuomba msamaha pale nilipokosea. Nina mengi ya kukuambia ila kwa leo yashike haya. Napigana na kutafuta kwa ajili yako na kwa nguvu za Mungu sitoshindwa.. Nakupenda sana mwanangu wewe ndo faraja yangu..."

About Unknown

Hi there! I am Hung Duy and I am a true enthusiast in the areas of SEO and web design. In my personal life I spend time on photography, mountain climbing, snorkeling and dirt bike riding.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Leave a Reply